Naumia Sana Moyo Kwa Nayosikia Kuhusu Mchezo wa Kuruka Ukuta mpenzi Wangu Anaofanya


Kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli ..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote nachotaka atanipa ili mradi nisimpoteze ..

Sana naumia maana nilipata habari na mtu wa karibu kua mpenzi wangu anaruka ukuta nilipuuzia nikaona hayo ya uongo sasa nimekuja kusikia tena juzi kwa baadhi ya watu kua huyu ni tabia yake kurishwa ukuta toka yupo chuo sasa nikipima na maneno yake kua chochote nachotaka atanipa picha inanijia maana kila tuwapo faragha ananiwekea mitego ya ajabu ajabu tuu ..

Sasa uyu nilikua na malengo nae aje awe mke sasa naingiwa na hofu unaeza oa mke anaefanya huo uchafu? sasa heshima si itashuka jamani? nifanyeje?
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wala usifanye Kitu.

    Kwanza Jitambulishe una Umuri gani?
    kama ni Dereva wa Boda boda unaanza saa ngapi kuuwa Barabarani na uamaliizasaa ngapi?

    Hii picha ya Kidawa namjua toka Kijijini na ana Malengo yake mjini.

    Haya utujuze ili tuangalie TUNAKUSAIDIAJE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad