Nyoka Mwenye Vichwa Viwili Aitwaye Double Dave
0
March 21, 2020
TUMEZOEA kuona nyoka wa rangi tofauti na wenye maumbo makubwa zaidi duniani, leo tunakuletea nyoka huyo anaejulikana kwa jina Double Dave mwenye vichwa viwili.
Image result for double dave snake
Nyoka huyo mwenye vichwa viwili aliyepewa jina la Double Dave amepatikana katika msitu mmoja katika jimbo la New Jersey, Marekani.
And umbo dogo na sumu kali, ana vichwa viwili vilivyokamilika, macho manne na ndimi mbili ambazo zinafanya kazi tofauti. Pia ana uwezo wa kujibadilisha na kuvimba anapokutana na adui.
Image result for double dave dave schneider
Bwana Schneider ambaye ni mtaalam wa wanyama wanaotambaa, amesema yeye na mtaalam mwenzake walimwona nyoka huyo Agosti 25 na wakampa jina la Double Dave kwa sababu yeye Schneider na mwenzake wote majina yao ni David
Tags