Mrembo Official Lynn Adaiwa Kudanga Kwa AKILI..Ahamia Nyumba Kodi Milion 3 Kwa Mwezi
0Udaku SpecialMarch 19, 2020
FAHAMU; Msanii wa Bongoflava Officiallyyn kahama nyumba ya mbezi beach aliyokua analipa 1.5m kahamia masaki now analipa 3m kwa mwezi ata Kama kanadanga ila kanadanga kwa akili
Kanadanga kwa akili nyumba ya kupanga? Angekuwa na akili angedanga na kujenga nyumba yake, maisha ya kudanga yana mwisho wake,mwisho ukifika akishindwa kulipa kodi kwenye hiyo nyumba anatimuliwa