Ben Pol Alalamika Kuhusu Warembo Wanaomfuata Kumtongoza "Mbona Nilipokuwa Singo Bila Anerlisa Mlikuwa Hamji"
0
March 19, 2020
Nyota wa muziki nchini Tanzania, Benard Michael Paul maarufu kama BenPol amedai kuwa kwa uzoefu wake kwenye mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake Anerlisa Muigai, ndo kipindi ambacho amefuatwa zaidi na wanawake wengi waliomhitaji kimapenzi tofauti na kipindi ambacho mahusiano yake hayakuwa wazi.
Anerlisa ni mtoto wa kishua kutoka kwa majirani zetu Kenya ambae anamiliki kiwanda cha maji ya kunywa, pia wazazi wake wanamiliki kiwanda cha kutengeneza bia Kenya
Tags