Polepole: Nilienda Kumtoa Mashinji na Msigwa Nilikuwa Mwenyewe Sasa Ninyi Mmekuja Mpaka na Madaladala Haiwezekani



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema alipokwenda kumfuata Vincent Mashinji aliingia peke yake sasa Chadema walikwenda hadi na daladala haiwezekani.

“Nilipokwenda kumtoa Mashinji niliingia peke yangu, nilipokwenda kumtoa Mchungaji Msigwa kwa niaba ya Mkwewe niliingia peke yangu,” aliandika Polepole katika ukurasa wake wa Twitter
“Sasa ninyi mlikwenda mpaka na madaladala mwe mwe mwe wanyambala haiwezekani,” aliandika Polepole.

Alisema kila sehemu kina utaratibu wake ukiuvunja unaweza kuleta madhara kubwa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizii NI mwembe Za chansimu waisaka Dola kwa Kiki. Utaendaje ba Bajaji na BODABODA kwenda kuchukua Mtowe toka Segelea. Hizi Kiki Za Majigambo Si AWAMU HII ya Hapa Kazi. Esta Pole kama unatafuta Kiki na Hulu a yangu huipati ngo Tena N'go.

    Usijifanyishe mwana Drama. Msanii mtambulika I Steve nyelele na Tabu Mtigita wewe Usanii hauujui wala Kuuweza.. Kijani Oyeeeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad