Profesa Jay: Kuna Watu Wanafanya Figisu ili Kutukwamisha katika Uchangiaji wa Fedha kwa viongozi Wetu Waliopo Segerea


Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu kwa jina la Profesa Jay  amesema kuna watu ambao wanafanya hila ili kuwakwamusha katika zoezi la uchangiaji wa fedha ili kuwatoa viongozi nane wa Chadema Gerezani.

“Kuna watu wente Mkereketo wa nafsi, muwasho wa moyo, chuki binafsi, kinyongolilo na roho nyeusi ya zopata wanafanya hila na propaganda ili kutukwamisha,” aliandika Profesa Jay.

Profesa Jay aliandika ujumbe huo leo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa

” Niwahakikishie tu kuwa Mungu sio kiziwi wala sio kipofu hamtafanikiwa, tuendelee kuchanga kwa wingi hii ndio nguvu ya umma,”

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Plofesa, Si itabidi ujiulize,
    Chama hakina pesa za uendeshaji na kujikimu...!!! Na Ruzuku zinaingia.

    Ama kweli CAG alisema kweli...!!!

    Kama hujapata jibu, Niambie nikujuze.


    Na kama umelipata na umetosheka nalo na unataka kugeuza kibao kuhamia TLP unakaribishwa kwa Jogoo.

    Kwa jinsi ulivyo na Busara hata sura yako siyo CDM. Hongera plofesa kwa uamuzi talajiwa kuwaletea maendeleo wana Mikumi ni miezi3.sku tisini Chali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad