Rais Magufuli Akutana na Maalim Seif Sharif Hamad



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwanasiasa Mkongwe na Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar

Kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao na baada ya kumaliza walisalimia kwa namna ambayo hawakugusana, awali walipungiana mikono kwa mbali na mwisho waligusanisha miguu


Salamu hizo ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad