Rais Magufuli "Naenda Huko Nasikia DARAJA Limewashinda Morogoro Sitaki Kuona Barabara Inafungwa"


"Sitaki kuona barabara ya mkoa au kuu imefungwa kwa sababu daraja limekatika, sitaki kusikia kwa TANROADS wote Tanzania nzima kwa sababu nafahamu fedha za kufanya 'maintenance' zipo, haiwezekani daraja mpaka likatike Engineer upo na fedha unazo. .
Ngoja niende nasikia daraja limewashinda huko Morogoro, kila barabara ikikatika katika mkoa yule Regional Manager ajihesabu hana kazi" Rais Dkt John Magufuli.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad