Rose Ndauka avishwa pete ya uchumba na kutolewa mahari



Msanii wa filamu za kibongo Rose ndauka amevishwa pete ya uchumba na kutlewa mahali na mpenzi wake wa muda mrefu.

Rose Ndauka amekuwa msiri kwa muda mrefu kwa kutotaja yupo na mahusiano na nani lakini kwa sasa imejulikana ni yule mwanaume ambaye ni mfanya biashara na kwa mara nyingi walikuwa wanaonekana pamoja hata sehemu zao za biashara.


Kwenye akaunti yake ya instagram amepost picha akionyesha pete yake na kuandika ❤️❤️❤️Wakati wa Mungu ni kama upepo mkali...... She said what???? 😍😍Mrs to be Naureen{Mama Naveen} ❤️

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad