Sabby Angel "Mimi Pekee Ndio Mwanamke Nitakaye Weza Kumtuliza Diamond Platnumz"


Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu wanampenda diamond kwasababu ya umaarufu na pesa hawana mapenzi ya kweli lakini pia wauzungu mwingi niwatu hata kupika kwao ni shida mwanamke lazima umtreat mwanaume Kama mtoto sasa hao wanawake wanathamini urembo wao kuliko kumuhudumia mwanaume.

Akafunguka Zaidi akasema kila mwanamke akiachwa na Diamond anasema Diamond ni tatizo lakini ukiwaangalia background ya mahusiano yao wanna list ndefu ya wanaume Kama Diamond pekee ni tatizo mbona wao wameshindwa kudumu na hao wanaume before hawajakutana na diamond?ameuliza hivyo inamaana wanaume waliodate nao wote wanamatatizo lakini wao ni perfect?akauliza hivyo Tena.

Akaendelea me ni mtoto wa kitanga ninajua kuhandle wanaume na diamond akinikabidhi moyo wake hatajuta kuwa na Mimi kwanza Nina maisha mazuri na umaarufu nishaupata kwenye movie teyali nina maduka mawili Ninamiliki pamoja na salooni mbili.

Nini maoni yako kwenye hili

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad