Taarifa zinazosambaa, Ni Kuwa SALLAM SK Mendez anaumwa , Diamond , Dancers na Crew nzima Wamechukuliwa vipimo wote waliokuwa Marekani juzi wanasubiri majibu ya vipimo kama ni Ugonjwa mwingine au Corona
Meneja wa Diamond... BABUTALE Afunguka Kuhusu Sallam SK Kuumwa Corona Huko Ughaibuni...
"Siwezi Kusema kama anaugua, anayeugua ni Binadamu, hatujaambiwa kama anaumwa maradhi yoyote, alikuwa na home ya kawaida tunasubiria majibu yatakuwaje, Alikuwa anaumwa kabla hajaondoka, si unajua ni mtu wa kuparty akajua uchovu"
MSIKILIZE HAPA
Dua Za H. Baba na Hamonizer.
ReplyDeleteIkizulumu maskini MUNGU anaekupa kichapo bila Ajizi.