Shamsa Ford: Mahari yangu ni Tsh. milioni 20

Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa. Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge kiasi kikubwa Cha fedha bila yeye kukuomba hela.

Mwanadada huyo pia anasifika kuwa na ngozi ya asili yenye mvuto wa aina yake bila hata kujichubua kama wadada wengi wamjini. Umbo lake linashangaza dunia inamfanya Mwanaume yoyote atoke na udenda automatically, sura yake pekee inaweza kushawishi kupewa mkopo na benki bila hata kuwepo riba bila kusahau sifa yake nyingine ana mguu soft utazani anaiweka AC muda wote.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mwanadada pia anasifika kuwa na macho mazuri yenye mbwembwe na kuvutia mwanaume ambayo akikutazama utazani upo mbinguni kumbe upo duniani.Mwanadada huyo amekuwa role model kwa wanawake wengi na wangependa wawe Kama yeye kutokana na uzuri wake wenye bashasha na tabasamu lake tamu Kama unakula asali.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad