Staa Nigeria "Tendo la Ndoa Nimuhimu Kwangu Kuliko PESA, Usipojua Kubanjuka Nenda tu Huko na Pesa zako"

Pichani Julieth muigizaji wa Nigeria katika interview mpya amesema yeye ni lazima achepuke na mwanaume mwingine ikiwa mpenzi wake hamridhishi wanapokuwa faragha. Amesema katika maisha yake kitu muhimu cha kwanza ni Mungu na cha pili muhimu Kwake ni kubanjuka. Amesema kwake lazima kwanza mwanaume awe vizuri kitandani kabla ya kuwa na pesa -

Hata hivyo, amesema yeye anajiheshimu na hata Kwenye movies hawezi kucheza scenes tata isipokuwa katika maisha halisi tendo la ndoa ni muhimu Kwake kuliko pesa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad