Tyson Fury na Deontay Wilder kurudiana tena kwa mara ya tatu


Bondia Tyson Fury (kushoto) na Deontay Wilder (chini kulia) watapigana kwa mara ya tatu Julai 18 mwaka huu ukumbi wa MGM Jinini Las Vegas.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mapambano mawili ya awali, Desemba 1, 2018 walitoka droo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles na Februari 22 Fury alishinda kwa Knockout (TKO) raundi ya saba hapo hapo MGM Grand.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad