Kitabu cha Biblia kinaeleza waziwazi huu uchafu unaofanywa na binadamu kama matendo ya ushoga,kutembea na binamu yako pamoja na wake za watu,kupitia vifungu vifuatavyo :
USHOGA NA ULAJI TIGO MAMBO YA WALAWI 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume,kama alalavyo na mtu mke,wote wamefanya machukizo hakika watauwawa
KUTEMBEA NA MKE/MUME WA MTU MAMBO YA WALAWI 20:10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine,na mwanamke aziniye na mtu mume hakika watauwawa
NA WALE MNAOKULA KUKU NA MAYAI YAKE [MAMA NA MWANA] MAMBO YA WALAWI 20:12 Na mtu mume akilala na mkwewe mwanamke wote wawili hakika watauwawa,Tena mtu mume akimuoa mke pamoja na mama yake ni uovu mkuu
WALE WANAOTEMBEA NA WANYAMA MAMBO YA WALAWI 20:15 Tena mtu mume akilala na mnyama, na mwanamke akimkaribia mnyama yeyote na kulala pamoja naye,mtamwua huyo mwanamke
KUTEMBEA NA BINAMU YAKO MAMBO YA WALAWI 20:19 Usifunue utupu wa umbu la mama yako wala umbu la baba yako
Tunakumbushana tuu Jamani
By Eddy Love
bora uwaambie Bashite na Le kunukaz au Le madolez. waache kuwaharibu watoto wa wenzao. Aibu imewafika kila alomfanyia anasema. jamani ukimuona mtu anaandika sana na kujifana anajua kuliko kumbe anaficha uchafu mkubwa lol.
ReplyDeletewale ni Makafili hata Dini yao inakataza lakini nje wanajifanya wajuaji ndani wanapanua miguu kama mademu. hebu badilikeni Le mutuz na Bashite. mnatia aibu kwakweli. mlijua siri yenu haitotoka couz mnawahonga vijana wa kuwazibua choo! ndo maana mnatabia za kike sana kumbeeee!
ReplyDeleteSO WALE MADADA ULOPIGA NAO PICHA RANGI YA MTUME WAMESHAMTIA MADOLE.
ReplyDelete