Weekend hii nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi". Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sony yaan sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote.
Niliamua kufungua whatsApp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake cha ajabu nikakutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume coz niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitsha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurah mno nilipokuingizia nyuma" halafu mchumba wangu alisms akajibu". Mwenzio sijazoea nyuma". Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema " Mwezi wa 6 inabd nikutie mimba".Daah niliishiwa pozi lakini sikusema kitu chochote hadi leo bado niko kimya nafikiria cha Kufanya......
Naombeni ushauri wenu
mteme haraka sana
ReplyDeleteushauri wangu kama huyo mwanaume ni shoga inabidi ukapime ngoma
ReplyDeleteMuote tu huyooo umeshakutana na ushahidi hivyo unataka ushaur wa nn tena...badala ukimbie upotee..mtu anaingiziwa hadi nyuma...we bado unakuja hapa kutaka ushauri
ReplyDeleteKuna vitu vingine haviitaji ushauri acha kuzingua wewee
ReplyDeleteHALLO NDUGU WOTE TUMETOA USHAURI WA AINA MOJA, HUYO HAFAI KUWA MKE. UKIONA MTU ANAFANYA MAPENZI YA KUINGILIWA NYUMA UJUE HAPO HAKOSI NGOMA 100% LABLA WAWE WOTE HAWANA MAAMBUKIZI. KWANI HUKO NYUMA HUWA HAKUNA MAJIMAJI YA KULAINISHA ***** KAMA KULIVYO MBELE ****.
ReplyDeleteHakika hafai kuwe mke, songa mbele tuliza kichwa tafuta mchumba mwingine kaka
ReplyDelete