Wizara Ya Afya maendeleo ya jamii Jinsia wazee na Watoto imetoa majibu ya vipimo vya dereva aliyembeba, Bi Isabela mgonjwa wa kwanza kugundulika kuwa na Corona Nchini na Watu wengine 27 waliohisiwa kuwa na Corona Jijini Arusha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI