VIDEO: Makonda Aongea na Mwana Fa na Salam Baada ya Kupata Corona 'Msiwe na hofu'
0Udaku SpecialMarch 20, 2020
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefanya ziara ya kushtukiza katika viwanda mbalimbali nchini kukagua kama wanafuata maagizo ya serikali ya kuwataka kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona.