VIDEO: RC Makonda atoa kauli kuhusu CORONA Dar 'watu tusiwe wabishi'


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema mpaka sasa  kwenye jiji hilo hakuna mtu aliyegundulika kuwa dalili za ugonjwa wa CORONA hivyo watu wafuate maelekezo yaliyotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe Ummy Mwalimu na waache kutumia mitandao kupotosha umma kuhusu ugonjwa huo VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad