Wananchi wa Hai wadai walioleta vurugu kwenye mkutano wa Mbowe sio wakazi wa hapo

Wananchi wa Hai wadai walioleta vurugu kwenye mkutano wa Mbowe sio wakazi wa hapo na wao hawawafahamu - Video

Baadhi ya wananchi katika eneo la Kikavuchini ulipofanyika mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe wamesema kundi la vijana lililofanya vurugu katika mkutano huo si Wakazi wa eneo hilo.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad