Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina.
Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine...waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao wana mtoto au watoto ila hawana waume.
Sababu kubwa ni hizi:
◆ Hakuna Mwanaume anayetaka kuletewa vifungu vya sheria kwenye nyumba yake na ujinga ujinga wa haki sawa.
◆ Wanawake wa hivyo wanakuwaga na ukatili na kujiamini kupita kiasi, nafikiri ni kutokana na hukumu wanazosoma
◆ Wakati huo huo waalimu ndio wanaoongoza kwa kuolewa na kuishi vizuri ndoani.
Nawasilisha.
Azarel
Hiyo kweli
ReplyDeletePower abusing
ReplyDeleteWengine hawaolewi sababu wamezaa na waume za watu na hao waume wsmenogewa zaidi na wake zao wameshindwa kuwaacha
ReplyDeleteNdoa haihitaji sheria. Ni malezi hakuna hukumu. Ndiyo maana walimu na manesi ni wanawake wenye soko zaidi kwenye ndoa kwa vile wanataaluma ya malezi na uvumilivu. Akinadada wanaosoma sheria wanamajivuno na argument nyingi sana. Hivyo wanaume huwa hawapendi kuhojiwa. Na mfume dume uko kwenye vitabu vya dini. Wanawake wanapaswa kuwatiii waume zao . Wanaume wanapaswa kuishi kwa akili na wake zao. Simply mume ndio mwenye akili kwenye ndoa.
ReplyDeleteFirst ladies kadhaa wa USA waliosoma sheria, mke wa waziri mkuu fulani kt moja ya mataifa makubwa alisomea sheria, wapo mahakimu ambao waliwahi kufunga ndoa nk kwani waliosomea sheria wa kiume na ambao wameoa huleta sheria nyumbani? Hiyo ni hofu tu ya kuogopa kisomo au mtazamo - ve wa tasnia ya sheria. Wanawake wana akili zao na wanajua kutofautisha mazingira ya kazi, family na mahusiano binafsi na wenzi wao. Lakini Asante kwa kutujuza kwani itatoa fursa kuwahamasisha vijana wetu waache hofu zisizokuwa na mashiko
ReplyDelete