Wastara Ampiga Marufuku Binti Kiziwi Kumpigia Simu Z Anto Mida ya Usiku

Wastara ampiga marufuku Binti Kiziwi kumpigia simu Z Anto mida ya usiku, Z Anto aamua kuzungumza

"Sitaki kuongea sana kuhusiana na hii ishu ila Wastara ni mtu mzima na ikifikia hatua kuongea kitu ambacho kipo serious sijui kuna nini, siwezi kuwa sawa kutokana na kinachoendelea mitandaoni na pengine watakuwa na hasira zao binafsi" amesema Z Anto.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hamna hasira zozote inahusu nini wewe z anto ulitaka binti kiziwi akutoe sasa mkanye no kizee wako no kiziwi bado anadai wamuonaje wewe mwenyewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad