Watu tisa wapoteza maisha kutokana na kimbunga nchini Marekani




Watu 9 wamepoteza maisha nchini Marekani kufuatia kimbunga kilichotokea katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.

Kwa mujibu wa habari zilizorushwa  na vyombo vya Marekani, kimbunga kilichopiga usiku kucha katika mji wa Nashville, jimbo la Tennessee kimesababisha kwa uchache watu 9 kufariki, huku wengi zaidi wakijeruhiwa.

Pia imefahamishwa kwamba kimbunga hicho kikali kimeharibu majengo, barabara, madaraja na maeneo ya kazi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad