Nimependa Interview Aliyoifanya Diamond Platnumz Wasafi FM....Amekuwa Hasa....its a One of Diamond’s Best interview Ever


I’m loving the interview Diamond did few days back , naweza kusema its a one of Diamond’s best interview ever . Nimependa jinsi Zembwela na Kitenge walivyokua free kuuliza maswali ya kidaku bila kumuonea aibu Boss wao, they even went deeper na kumchimba maswali yale yale ambayo wadaku tulikua tunataka kujua.

Secondly, nimependa ambavyo ame improve his oratory skills, ako very expressive n honest ,alipunguza ule u much know , Ego & Arrogance.

Nimependa pia alivyokiri kuwa nyumba anayoishi kapanga and that anajenga his dream house ilibid ahame madale kutokana na hadhi ya ustaa wake.Pia alikiri kwa kusema yeye anapenda mambo makubwa zaid Ndio maana anajitanua na kufanya mambo ambayo wasanii wengi wa caliber yake hawawezi kufanya, Coz ana njaa na mafanikio.

Pia amekiri kuachana na tanasha kwa sasa , kwa kudai kuwa kuna mambo hawakukubaliana hivyo kila mtu akaamua ampe nafasi mwenzie hili wafikirie kama wanaweza kumaliza hizo tofauti na kuwa tena pamoja au lah....This was very profound statement from Diamond , this kid is becoming intellectually smart day to day .

This time he has never speak ill of any of his ex’s , hail to his management maana kuna sehem alisema baada ya Zari ku post kuhusu kutowasaidia watoto na kwenda kulipia watu kodi kidogo ilimuuma na akataka kuandika waraka kumlipua Zari ila baada ya kuwaonyesha Boss zake, wakamkataza ikabidi amtafute Zari wakaongea na kuyamaliza na kuahidi atalea watoto wake vizur as it should be.

Diamond is a very successful musician , talented , good looking n appetizing , any woman would want a piece of him kutokana na umaarufu na mafanikio aliyonayo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad