Mfahamu “ENYA” Mwanamziki Anayemwabudu na Kumtukuza SHETANI Kupitia Nyimbo zake


Mfahamu “ENYA” Mwanamziki Anayemwabudu na Kumtukuza SHETANI...

Tumeshazoea kuwaona wanamuziki mbali mbali wa Gospel wakimwimbia na kumtukuza Mungu, ila kwa mwanamama kutoka ireland , Enya Patricia Brennan aliyezaliwa mnamo 17 May 1961 , kwake ni tofauti, baada ya kuamua kutumia kipaji chake cha kutisha katika kumwabudu na kumwimbia shetani.

Mwanamuziki huyo ambaye amejizoelewa umaarufu mkubwa duniani, haswa pia baada ya nyimbo zake kupendwa kutumika kama “Soundtrack “ kwenye filamu za kutisha/ horror films( Sakobi-Nigeria , na nyingine nyingi kutoka hollywood.)

Baadhi ya nyimbo zake zilizompa umaarufu na utajiri mkubwa ni:

1. Orinoco flow
2. Only Time
3. Wild child
4.Caribbean blue
5 . May it be
6. Echoes in rain na nyingine nyingi.

Hata hivyo nyimbo zake nyingi amekua akiimba kwa lugha isiyoeleweka hili kuficha “CODE” au maana Halisi ya nyimbo zake, ambazo nyingi anakua akimsifia shetani kwa matendo yake makuu na kwa ukuu wake.

Moja ya wimbo wa Enya ambao unasemekana akimsifu shetani ni huu:

“MAY IT BE”

May it be an evening star

Shines down upon you

May it be when darkness falls

Your heart will be true

You walk a lonely road

Oh, how far you are from home

The evening star is a code for their goddess. She is also symbolized by the five pointed star or pentagram.

Nyimbo zake nyingi zimekua zikitumiwa na waabudu shetani wengi kama meditation kwa ajili ya ku invoke evil spirits au kutumiwa kwa ajili ya spells za kufanyia ibada za Kishetani.

Pia kuna uvumi kuwa mwana Mama huyo kapata kipaji hicho kwa msaada mkubwa wa LUCIFER, hivyo kaamua kumrudishia sifa na utukufu kwa kumuimbia kama wanavyofanya walokole Na madhehebu mengine kumwabudu Mungu.


By warumi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad