Mchezaji Haruna Niyonzima wa YANGA Aoa Mke wa Pili


Imeripotiwa na mtandao wa inyarwanda.com kuwa kiungo wa Yanga SC na timu ya taifa ya Rwanda Haruna Niyonzima ameoa mke wa pili akiwa jijini Dar es Salaam.

Niyonzima na Cassandra Rayan wamefunga ndoa ya kimyakimya jijini Dar es Salaam huku baadhi ya watu wakidai kuwa inawezekana hilo limefanyika sababu ya corona.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad