Mkewe wa Alikiba Atoa Kali..Apost VIDEO ya Wabeba Majeneza Baada ya Diva Kujitangaza Kuwa Alikuwa Anatoka na Kiba


Mkewe mwanamuziki wa nyimbo za Bongo Alikiba Amina Khalef aliwaacha wengi midomo wazi na maswali chungu nzima kama kila kitu kikosawa katika maisha yake.

Hii ni baada ya kupost video katika mtandao wa kijamii wa wanaume wakiwa wamebeba jeneza au sanduku la maiti, wanaume hao kutoka Ghana wameenea sana katika mitandao ya kijamii kwa kazi wanayofanya.

“R.I.P😊.” Aliandika ujumbe mfupi baada ya video hiyo.

Wabeba jeneza hao huwa wanalipwa kubeba maiti ili kuwapa safari njema huku wakicheza mziki.

Mashabiki wake kwa haraka walitoa hisia zao kuhusiana na video hiyo huku wengi wakisema kuwa sikwema, uhusiano wa Alikiba na Amina umekuwa na uvumi mwingi kuwa wameachana.

jumalokole2 😂😂😂😂😂😂😂 nilizani pambe ni kwangu tu 😂😂😂😂😂 kumbe adi kwa mke wa YOOOOOO 😂😂😂😂😂 kawapost wazee wa kazi wanaenda kuzika 😂😂😂😂 leo kucheleeeeeeeee

vee.24 Makaburi ya mombasa yamedamshi leo wanataka wakazikie kariakoo


mamush_mamuh 😂😂😂😂bado biriani tu msiba kwisha

imani_amani Kwisha maneno, Amina na Tanasha msirudi nyuma aisee😂

sirimsambya Humo kuna adi vyeti vya ndoa 😂

kenerd_di_blackmoon Nini tena, usiwe umezika ndoa humu duh tutaambia nn watu

Akimjibu mmoja wa mashabiki aliye muuliza atarudi nchini Tanzania lini kwa maana sasa Amina anaishi na wazazi wake mjini Mombasa alikuwa na haya ya kumjibu.

“I LOVE TANZANIA AND WILL COME VERY SOON.” Amina Alisema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad