Baraka The Prince Atubu Kwa Ali Kiba "Nikikutana nae Nitamwambia Turudi Studio"


"Sijakutana na Ali Kiba tangu nimejitoa Rockstar, nikikutana na yeye leo sidhani kama nitakuwa na point nyingine ya kuzungumza na yeye tofauti na kumwambia turudi studio tufanye kazi, nafkiri utakuwa wakati sahihi wa kuwa-prove wrong watu wenye maneno maneno.

Hakuna mtu ambaye hana jazba, sometimes unaweza kuongea vitu kutokana na situation unayopitia kwa wakati huo, lakini nipende ku-clear leo, mimi na Ali Kiba hatujawahi kuwa na matatizo!"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad