Uongozi wa Harmonize Wafunguka Ishu ya Wasanii wa Ali Kiba Kujiunga Konde Gang...Vita ni Vita Muraa


Uongozi wa Konde Music World wide kupitia kwa meneja wake Mjerumani, umefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kudaiwa kuwachukua wasanii waliojitoa Kings Music  Cheed na  Killy

"Hizi tetesi kuwa Konde Gang Wamewachukua Wanamuziki waliojitoa kwa Lebo ya Ali Kiba Kings Muziki sio za Kweli na wala hatujawahi kufanya mazungumzo yoyote na wasanii hao labda ni vile tu watu wameona tumeanza kutambulisha wasanii ndio wamefikiri nao wao pia tutawaingiza..Kwa sasa Konde Gang ina Wasanii wawili tu ambao ni Harmonize na Ibrah" Mjerumani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad