Lulu Michael Awaita Watu Aliokesha Nao ‘Malijendi’ Awaombea Baraka za Roho na Mwili


Msanii wa Bongo Movie Elizaberth Michael (Lulu) amewashukuru watu wote waliomtakia heri jana katika siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 25.

Katika siku hiyo (jana Aprili 17, 2020) Lulu alifanyia Party yake mtandaoni ambapo aliwaalika watu kujumuika naye huku wakiwa wamependeza.

“Shukraaani kwa wewe uliyetenga muda wako na kunitakia Kheri ya siku yangu ya kuzaliwa (jana)
Wale Tuliokesha wote mjini YUTUBU, Nyie ni MALIJEEENDI kabisa,”

Ahsante sana kwa kusherehekea Baraka hii ya mwaka mwingine Katika maisha yangu….Asante sana kwa kuifanya siku yangu iwe nzuri na ya kipekee UBARIKIWE BARAKA ZA ROHONI NA MWILINI”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad