Maneno ya BILLNASS Wakati Akimvisha PETE Nandy "Nimechagua Pande Zote Mbili Mbaya na Nzuri"

HABARI MPYA MJINI: Mrembo Nandy Amevalishwa Pete Na Msanii Billnass Kama Ishara Ya Kuwa Wao Ni Wachumba Kuanzia Sasa.

MANENO YA BILL NASS ALIPOMVALISHA NANDY PETE KWENYE KIPINDI CHA HomaTVE. *Billnass alisema " We have been together kwa kipindi kirefu sana. Tumepitia vitu, vizuri na vibaya, najua upande wako mbaya najua upande wako mzuri. But nimechagua pande zote mbili....Nakupenda sana...."
.
.
Baada ya hapo alivamlisha pete NANDY na kuweka wazi kwamba nia yake ni kumuoa.

IMETOKEA Tar 10/04/2020.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad