Abood Lagongana na Lori la Mafuta, Lateketea, Mmoja Afariki – Video


Mtu mmoja amefariki dunia usiku wa kuamkia jana leo usiku Aprili 20, 2020,  baada ya Basi la Kampuni ya Abood Bus Service lililokua likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali maeneo ya Ikungi mkoani Singida.

Ajali hiyo imetokea baada ya Basi hilo la Abood aina ya Scania Marcopolo kugongana uso kwa uso na loli la mafuta huku chanzo kikidaiwa kuwa ni dereva wa basi kutaka ku-overtake na kukutana na lori hilo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Sweetbert Njewike amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Inasemekana aliyefariki katika ajali hiyo ni kondakta wa basi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad