Ali Kiba Afunguka "Walinifuata Saa Nane Usiku Wakaniambia Wanatoka Lebo"



'‘Kings Music ni kama chuo, vijana nilikuwa naishi nao kama ndugu zangu, tumefundishana palipokuwa pana upungufu, nadhani now wamejiona wamehitimu wakaamua kuondoka.’

‘Walinifuata jana usiku saa 8 kasoro, wakaniambia walichotaka, nikawaambia kila la kheri. Saa 10 wakapost kwamba wamejiondoa kwenye Label.” -Ali Kiba kuhusu wasanii waliojitoa.

‘Ni kweli niliwekeza pesa nyingi kukuza careers zao, kwangu nilikuwa naona kama nawasaidia wadogo zangu wa damu. Sikuwahi kuwaza kuwafunga na mikataba kwa namna ambavyo tulikuwa tunaishi sana. Nawataki kila la kheri popote waendapo.” - Ali Kiba

Ni kweli niliwekeza pesa nyingi kukuza careers zao, kwangu nilikuwa naona kama nawasaidia wadogo zangu wa damu. Sikuwahi kuwaza kuwafunga na mikataba kwa namna ambavyo tulikuwa tunaishi. Hizo pesa zilizotumika ni sadaka. Nawatakia kila la kheri popote waendapo.” - @OfficialAliKiba on CloudsTv  - #regrann  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad