Mtoto wa Amina Chifupa Amekuwa "Nikimkumbuka Mama Yangu Huwa Namgoogle"


“Nimekuwa nikimgoogle Mama yangu ili kuweza kujua alikuwa mtu wa namna gani, nimejifunza vingi kuhusu yeye na nikagundua alikuwa anapaza sauti kwa ajili ya wengi, mpiganaji na najisikia furaha kuona aliacha alama nchini”

Rahmani Chifupa Mtoto Wa Marehemu Amina Chifupa. alipohojiwa Kwenye kipindi cha LeoTena ya Clouds Fm

Je mtoto wako Akiija Kukugoogle Wewe Atapata Taswira Gani Juu Yako?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad