Baada ya Diva Kuachana na Ali KIBA "Kwetu Zimekuja POSA Nyingi Sana Kutaka Kunioa


Baada ya Diva Kuachana na Ali KIBA na kumtupa kama jongooo na kijiti chake kupitia mtandaoni, Diva anasema "Kwetu Zimekuja POSA Nyingi Sana Kutaka Kunioa

Kwetu zimekuja Posa Nyingi Nyingi Kama Mvuaaa .. zimejaa hadi sasa wachumba wanasumbua , sijui wakumtosa na yupi wa kuchukua .. ila subira yavuta kheir .. nitavumiliaaa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bado analiota penzi la Kiba. Maumivu yake hayaelezeki, mwacheni alopoke.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad