Baada ya Kutoka JELA, Binti Kiziwi Aolewa...


Mmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu kuolewa hatuolewi, mxieew

Na mie toka nianze ushirikina mwaka juzi natafuta ndoa sipati, naishia kua mpango wa kando. Huyu mganga wangu jaman looh , inabidi nimtafute mganga wa cheupe dawa sikubali na mimi .

Roho inaniuma hapa nimevunja sana nazi njia panda usiku wa manane, nimepigwa chale mpka makalion warumi mie , hata ndoa ya mkeka sina mxiew..

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mie nakuhurumia mwenzako.
    Naona ulivyokwenda Njia Panda ulisahau Masharti na Manuizo. Ukawa unafikiria Ndoa

    Sasa Basi Shoga yangu. Njoo nikupe ile ya Kutoka kwa Babu LOLIONDO. Utafunga kazi.

    Ndoa itakuwa ilala mlangoni kwako. Mpaka mwenyewe utashindwa. kila wiki utaolewa
    Likizidi Dau unasepa ivo tu Shoga yangu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad