BABU Azikwa Ndani ya GARI Lake Alilolipenda zaidi Aina ya Mercedes Benz..

Pichani babu huyo wa S.Afrika kwa jina la Tshekedi Pitso(74) amezikwa akiwa ndani ya gari lake hilo aina ya Mercedes Benz ambalo lilikuwa ndilo gari lake alilolipenda zaidi kati ya magari mengine aliyokuwa akimiliki. -

Enzi za uhai wake aliiambia familia yake siku akifariki azikwe ndani ya gari lake hilo. Kama anavyoonekana pichani Jumamosi hii iliyoisha alizikwa nchini humo akiwa Kwenye pozi kama anaendesha gari hilo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad