Bilionea Mo Dewji Atumia Siku ya leo Kuomba Msamaha kwa Aliowakosea


Bilionea maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ametumia siku ya leo Jumamosi Aprili 18, 2020 kuomba mshamaha kwa watu ambao amewakosea kwa kujua au kutokujua.

Msamaha huo ameuomba kupitia ukurasa wake wa Instagramu akisema leo ndio Jumamosi ya mwisho kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

“Napenda kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa yeyote ambaye nimemkosea kwa kujua ama kutokujua. Namuomba M/Mungu akubali dua zetu, anatujaalie tuweze kuufikia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan tukiwa na afya njema, Ameen”

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mashaallah, Huu ndio Uungwana.
    Na Inshallah hii pia NI sadaka.

    Ramadhan Kareem

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad