Billnass Awashukuru Waliomsifia yeye na Nandy


Ikiwa leo ni April 12, ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Msanii Billnass msanii huyo amewashukuru wote ambao, walimpongeza kufuatia hatua yake kumvisha pete ya uchumba Msanii mwenzake Nandy.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Billnas ameandika kuwa "nitumie muda Huu Kuwatakia Pasaka njema wapendwa Duniani kote, pia rafiki zangu na Ndugu zangu walio katika wakati Mgumu, kwa Namna yeyote ile usisahau Kumuweka Mungu kwanza."

"Pili Nitumie Muda Huu kuwashukuru kwa salam za Birthday na pongezi za Engagement, sms, simu, post , comment, ushauri ni vingi sana nilitamani kumuonesha kila Mmoja how Much I appreciate lakini mimi pia ni binadamu, nisingeweza Kumridhisha kila mmoja, ila niseme tu nawapenda sana'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad