Uingereza imesema Waziri Mkuu wake Boris Johnson anaendelea vizuri kwenye chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupewa oksijeni kwa ajili ya kumsaidia kupumua wakati huu ambapo anaugua corona
“Boris ni mpambanaji, atapona tu hivi karibuni na kurejea kazini”