Breaking NEWS: Billnas Amvisha PETE ya Uchumba Mwanamuziki Nandy...Afanya Suprise ya Nguvu

Msanii wa Bongo Fleva, Billnas amemvisha Pete ya uchumba Msanii mwenzake Nandy katika kipindi Cha Homa TVE  usiku wa April 10/2020 ambapo Nandy alikuwa akitumbuiza na Billnass kubuka Kama surprise na ndipo tukio Hilo la kuvishana Pete likatokea.
" We have been kwa kipindi kirefu Sana tumepitia vitu, vizuri na vibaya, Najuwa upande wako mbaya Najuwa upande wako mzuri But Nimechaguwa pande zote mbili, Sina maneno mengi sana....... Nakupenda Sana..." > BILLNAS 
Tunawatakia heri katika hili
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad