China yapitisha chanjo mbili za majaribio dhidi ya virusi vya corona



China imepitisha katika hatua ya awali chanjo mbili za majaribio kwa binadamu dhidi ya virusi vya corona wakati ikipambana kudhibiti maambukizi kutoka nje na kuzuia kutokea kwa awamu nyingine ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID-19.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad