Corona: Vyuo, shule kuendelea kufungwa sherehe za mei mosi na muungano zapigwa STOP


Serikali yatangaza kuendelea kuzifunga shule na vyuo vyote mpaka itakapotangazwa vinginevyo, yafuta sherehe za Muungano na Sherehe za Mei Mosi   kwa mwaka huu, fedha zilizokuwa zitumike kwa ajili ya sherehe za Muungano, zapelekwa kupambana na janga la corona.

Sia


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad