Inasikitisha...Wagonjwa Kenya Wafikia 225, Vifo 10




Watu tisa zaidi wameambukizwa Virusi vya Corona  Nchini Kenya chini ya saa 24 zilizopita na hivyo kufanya idadi ya waliombukizwa virusi hivyo sasa kufika 225.

Saba kati yao ni Wakenya, wengine ni raia toka Mataifa mengine, Waziri wa Afya nchini humo Mutahi Kagwe amesema mtu mmoja pia amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa huo  na kufanya idadi ya waliofariki kufika 10.

Amesema wagonjwa wengine  12  wamepona na hivyo kufanya idadi ya waliopona hadi sasa kufika 53
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad