Daktari Aliyesema Dawa ya Corona Ifanyiwe Majaribio Africa Aomba Radhi


Daktari kutoka Nchini Ufaransa ambaye amezua Mijadara baada ya kutaka Bara la Afrika lifanyiwe majaribio ya Chanjo ya Corona aomba radhi. .

Kupitia Kipindi Cha Televisheni Dr. Jean Paul Mira alisema inabidi Chanjo ya Corona ifanyiwe Majaribio Afrika kama ilivyokua kwa dawa ya HIV . .

Hata hivyo baada ya Watu wengi kumpinga hatimaye Dr Mira ameomba radhi ; " Ninawaomba radhi wale wote niliowaumiza , kuwashangaza na Kuwatusi kutokana na kauli yangu. Ninaomba radhi Sana " - alisema Dr huyo kupitia mahojiano yake na Cnn.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad