Davido Kathibitisha Mchumba wake Kapona Corona



Mwimbaji Star kutokea Nigeria Davido amethibitisha tena kuwa mchumba wake Chioma aliyekutwa  na virusi vya corona amepona baada ya kufanyiwa vipimo mara mbili.

Kama utakumbuka hapo awali Mchumba wa Davido ( Chioma ) alichukuliwa vipimo March 25 na kugundulika kuwa alikuwa amepata maambukizi kisha akatengwa kwaajili ya uangalizi zaidi.

Baada ya siku 25 kupita Davido amekuja kuthibitisha kuwa mpenzi wake Chioma amepimwa na kukutwa hana tena ugonjwa wa Corona.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad