Diva Loveness "Nililia Sana Alikiba Kuniita 'Kigagula', Niliamini Nipo Kwenye Mikono Salama, Nimemblock Kote"

Diva Loveness "Nililia Sana Alikiba Kuniita 'Kigagula', Niliamini Nipo Kwenye Mikono Salama, Nimemblock Kote"

Diva: Nililia sana Alikiba kuniita 'Kigagula', Niliamini nipo kwenye mikono salama, nimeblock kote
Nilijitoa sana kwa Ali Kiba Ananiita Kigagula wakati mimi huyo nimpigania sana mpaka nikagombana na Brand kubwa kwa ajili yake , Kwenye page yangu natukanwa sana kwa ajili yake, yupo selfish sana wakati mimi nampigania nikimuomba anipostie kitu kwenye page yake cha biashara yangu hataki....

Msikilize Hapa Chini:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad