Dk Mwigulu Amcharua Zitto Kabwe Amemuambia kwani Rais ni Nesi Umuone Anapokea Wagonjwa?


Mbunge wa Iramba (CCM), Dk. Mwigulu Nchemba, amemtolea povu kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kudai Rais amekwenda kujificha Chato.

Nchemba amemuambi Zitto kuwa Rais sio nesi iwe ni lazima amuone anapokea wagonjwa ndio ajue yuko ofisini.

“Serikali iko kazini kila huduma wanayopata wagonjwa maana yake Rais yupo kazini,” aliandika Nchemba katika ukurasa wake wa Twitter huku akimjibu Zitto alichokuwa amekiandika.

Nchemba aliendelea kumuambi Zitto kuwa amekimbia bunge badala ya kuwa pamoja na kushauriana kwa njia sahihi ya bungeni amejificha.

“Zitto umekimbia bunge badala uje tuishauri serikali kwa platform sahihi bungeni, umejificha, umebaki insta,”

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito pumbavu kabisa; ubabaishaji tu!!

    ReplyDelete
  2. Mbona unamsakama sana rais wetu!?

    ReplyDelete
  3. tuwe na umoja katika janga hili la corona, mweshimiwa kabwe serikali inafanya kazi sn.WE ARE NATION NOT PERSON

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad