Dk. Ndugulile: Mama mwenye maambukizi ya Corona ruksa kunyonyesha mtoto



Naibu waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, Dk Faustine Ndugulile, amesema mama mwenye maambukizi ya Covid-19 anapaswa kuendelea kunyonyesha mtoto wake.

“Hakuna ushahidi kuwa maziwa yanaambukiza Corona,” aliandika Dk Ndugulile.

“Kuvaa barakoa kipindi chote cha unyonyeshaji, usafi wa mwili kabla ya kunyonyesha na usafi wa matiti na mikono kabla ya kunyonyesha,” aliandika Dk. Ndugulile katika ukurasa wake wa Twitter

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad