Drogba Akemea Vikali Kauli ya Kwamba Jaribio la Chanjo Dhidi ya Corona Lifanyike Barani Afrika




Didier Drogba amekemea vikali kauli ya kwamba jaribio la chnjo dhidi ya Corona lifanyike barani Afrika.

Nyota wa kimataifa wa kabumbu kutoka nchini Cote d'Ivoire amekemea vikali kuali ya kwamba jaribio la chanjo dhidi ya virusi vya corona lifanyike barani Afrika

Didier Drogba amekemea vikali kauli iliotolewa kupitia runinga moja ya Ufaransa ya kwamba chanjo dhidi ya virusi vya corona ifanyike katika mataifa ya bara la Afrika.

Afrika sio maabara ya majaribio, nakemea vikal kauli hiyo ya kimabaguzi iliotolewa nchini Ufaransa ameandika katika kurasa zake katika mitandao ya kijamii Didier Drogba.

Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa waafrika wanachukuliwa kama "vyombo vya majarabio na kuwatolea wito viongozi wa mataifa ya bara la Afrika kuwaheshimisha raia wao na kuwalinda.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad